Перейти к содержимому

NEEMA IMENIBEBA 🙌🏾 | Wimbo wa Neema ya Mungu | Zaburi Sounds Music

Zaburi Sounds Music

0:00 / 0:00

NEEMA IMENIBEBA 🙌🏾 | Wimbo wa Neema ya Mungu | Zaburi Sounds Music

2 410 просмотров · 1 месяц назад
Zaburi Sounds Music
90 подписчиков
2 410 просмотров · 1 месяц назад
NEEMA IMENIBEBA 🙏🏾✨ Kuna mahali nguvu zetu zinaishia. Kuna mahali juhudi na matendo yetu yanashindwa. Lakini neema ya Mungu inatubeba na kutufikisha mahali ambapo tusingeweza kufika kwa uwezo wetu wenyewe. “Neema Imenibeba” ni wimbo wa Kiswahili wa ushuhuda, unaozungumzia neema, rehema na kibali cha Mungu. Ni ushuhuda wa milango ambayo Mungu anafungua, njia anazotengeneza, na jinsi kibali Chake kinavyoweza kukutangulia mbele za Mungu na wanadamu. 🎶 Neema imenibeba, Neema imenifikisha hapa… Kama umewahi kuangalia maisha yako na kusema, “Kama si neema ya Mungu, sijui ningekuwa wapi,” basi wimbo huu ni wako. ❤️ Sikiliza, abudu, na usisahau kushare na mtu anayehitaji kukumbushwa kwamba neema ya Mungu bado inabeba. Subscribe to Zaburi Sounds Music for more Swahili Gospel, African Gospel Worship and songs of faith, testimony and worship. #NeemaImenibeba #SwahiliGospel #AfricanGospel #NyimboZaInjili #GospelMusic