Kama Ungekuwa Kitabu || Good Singing
The Endtime Astronomers
0:00 / 0:00
Kama Ungekuwa Kitabu || Good Singing
3 327 просмотров · 1 год назад
The Endtime Astronomers
2,32 тыс. подписчиков
3 327 просмотров · 1 год назад
Matendo ya Mungu kwetu wanadamu ni mengi sana, hakuna mtu anaweza yaelezea, hakuna mtu anaweza yahesabu, kwani yamepita ufahamu wa mwanadamu. Mbingu zingekuwa Karatasi na Bahari iwe Wino na Miti nayo iwe Kalamu bado havingetosha kuelezea yale Mungu amenitendea mimi na wewe. Unapoangalia Wimbo huu, ninaomba ukawe baraka kwako na umshukuru Mungu kwa mengi aliyokutendea. Bwana Yesu akubariki.