Перейти к содержимому

HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU

Global TV Online

0:00 / 0:00

HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU

313 747 просмотров · 8 лет назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
313 747 просмотров · 8 лет назад
HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU UKISTAAJABU ya Mussa ,utayaona ya Firauni! Mwanaume mmoja mkazi wa chamazi, Dar, Jafari Daudi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuokota pesa ya majini (sarafu) ambayo inamtesa na kutamani kuikimbia nchi. Akisimulia kwa huzuni, mwanaume huyo mwenye mke na mtoto mmoja alisema kuwa, miaka mitatu iliyopita alikuwa akifanya maeneo ya Kijiji cha Mbondole, Kata ya Msongola, Dar ambako ndiko mkasa huo ulikompata. Alisema kuwa, siku moja akiwa anaelekea kazini aliokota sarafu ambayo ilikuwa iking'a kama dhahabu ambapo alipoiangalia vizuri aliona kama zile pesa za kizamani, akaiweka mfukoni mwa suruali na kuelekea kazini kwake. Jafari alisimulia kuwa, aliendelea na kazi, lakini ghafla alianza kuumwa na kichwa kupindukia huku jasho likimtoka na wakati huo huo baridi ya ajabu hivyo kutia shaka kuwa huenda hali hiyo ilimpata kutokana na pesa aliyoiokota hivyo aliamua kufunga ofisi na kurudi nyumbani. Subscribe muda huu    / uwazi1   Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .