#LIVE# MISA TAKATIFU KUMUWEKA WAKFU ASKOFU MTEULE JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA PD. WILBROAD KIBOZI
Johari Media
0:00 / 0:00
#LIVE# MISA TAKATIFU KUMUWEKA WAKFU ASKOFU MTEULE JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA PD. WILBROAD KIBOZI
1 776 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
Johari Media
32,4 тыс. подписчиков
1 776 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
Mpendwa Mtazamaji wetu wa Johari Media, popote pale ulipo karibu sana katika Ibada ya Kumuweka wakfu Askofu msaidizi Mteule wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma mheshimiwa sana Pd. Wilbroad Henry Kibozi.
Muadhimishaji mkuu wa ibada ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki Dodoma Beatus Kinyaiya Ofm Cap
Wapo Pia Maaskofu wakuu, maaskofu, Maabate, Mapadre, Mashemasi na watawa
Mgeni Rasmi ni Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Philip Isdori Mpango akiambatana na Mkewe.
Wapo pia Mawaziri Kama vile Anthony Mavunde, Jenista Mhagama, Innocent Bashungwa na viongozi Wengine.