KILIMO BORA CHA MBOGAMBOGA;Jifunze mfumo wa umwagiliaji wa matone(drip irrigation system Tanzania)
Shamba Darasa TV
0:00 / 0:00
KILIMO BORA CHA MBOGAMBOGA;Jifunze mfumo wa umwagiliaji wa matone(drip irrigation system Tanzania)
5 649 просмотров · 4 года назад
Shamba Darasa TV
27,4 тыс. подписчиков
5 649 просмотров · 4 года назад
UFAHAMU UMWAGILIAJI WA MATONE (DRIP IRRIGATION SYSTEM) : Mfumo wa umwagiliaji wa matone (Drip irrigation system) unafanya kazi kama zile drip za ma hospitalini za kuongezewa maji au damu ambazo huwa tunaziita drip.
VITU VINAVYOTENGENEZA MFUMO HUU
1. Pump – Hii inafanya kazi ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo cha maji na kupeleka shambani moja kwa moja au kwenye tank au sehemu ya kuhifadhia maji (water resevour) kwa kuhifadhi.
Holland GreenTech Tanzania
2. Filters/ chujio – Filter zinachuja maji ili takataka na vitu vingine visiingie kwenye mfumo wa umwagiliaji na kuleta shida kama za kuziba pipes na Emmitters ni visehemu vya kutolea maji kwa ajili ya kumwagilia.
3. Back wash controller/ back flow contorller ni valve zinazozuia maji kurudi nyuma ya mfumo hasa mgandamizo wa maji ( pressure) inapokuwa ndogo. Maji yanatakiwa yawe na uelekeo mmoja tu (Unidirection). Hizi ni kama valves za mishipa ya vein zinavyozuia damu isirudi nyuma.
4. Pressure regulator au control valve – inafanya kazi ya kudhibiti presha ya maji inayoingia kwenye pipes. Ni muhimu sana kudhibiti pressure maana ikizidi tu unaweza kukuta sio drip tena ila pipes au tape zimepasuka zote.
5. Water tank/resouvr au chanzo cha maji – kazi ni kusambaza maji kwenye drip, lazima maji yawepo ndio uwe mfumo wa umwagiliaji.
6. Main line/ pipe – ni bomba kubwa linalotoa maji kwenye tank au kwenye chanzo kingine kwenda shambani kwa ajili ya kusambazwa.
7. Small poly tubes/tapes hizo ndio zileee zinasambaza maji shambani sasa na ndio zenye vitobo vya kudodondoshea maji.
Kuna connectors pia ambazo zinaunganisha hizo tubes na pipes.
Pia kuna gate valves – hizi zinasaidia kumwagilia shamba kwa awamu, yaani unaweza kumwagilia nusu shamba kwanza ukaendelea na nusu baadae. Gate valves Ikifungwa zinazuia maji kwenda eneo moja na kuruhusu eneo jingine hasa kama maji yana pressure ndogo.
Kuna source ya power kama umeme au solar kwa ajili ya pump lakin pia unaweza kutumia mafuta tu
FAIDA ZA KUTUMIA MFUMO HUU WA UMWAGILIAJI
1. MATUMIZI MAZURI YA MAJI
2. KUPUNGUZA KARAHA ZA MAGUGU SHAMBANI
3. MATUMIZI MAZURI YA MBOLEA
4. HAKI SAWA KWA KILA MMEA
5. INAPUNGUZA GHARAMA YA NGUVUKAZI NA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA NGUVUKAZI
6. KUONGEZA UZAAJI
7. DRIP ZINAPUNGUZA MMOMONYOKO WA ARDHI.
Ifahamu teknolojia ya kumwagilia mazao kwa matone ...
bei ya mpira wa umwagiliaji
bei ya mashine ya kuvuta maji
kumwagilia bustani in english
kilimo cha nyanya
UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE (DRIP IRRIGATION SYSTEM TANZANIA)
UMWAGILIAJI WA MATONE
Umwagiliaji wa matone ni mfumo wa kisasa kwa umwagiliaji wa mimea na hasa mazao. Maji hupelekwa polepole kwa mabomba au mipira yenye matundu madogo moja kwa ...
Historia · Faida za umwagiliaji wa matone · Matatizo ya umwagiliaji matone
Umwagiliaji wa matone ya nyumbani - Renovables Verdes
Zijue changamoto za nyanya na jinsi ya kuzikabili ili ulime nyanya kwa tija.
Gamhar Rz F1 ni nyanya yenye sifa zifuatazo:
-Inakoma mapema siku 65 hadi 70
-Inastahimili msimu wa mvua na baridi
-Inazaa sana
-Matunda magumu na yanayong’aa
-Matunda yake yanavumilia kusafirishwa umbali mrefu na yana maisha marefu baada ya kuvunwa, Gamhar RZ F1 ni Suluhisho kwa mkulima na hufanya vizuri sana kipindi cha mvua nyingi na baridi
Rijk Zwaan Tanzania.
#mkulimasmart
#shambadarasa
kilimo cha nyanya 2022
kilimo cha nyanya chenye tija
jinsi ya kulima nyanya kitaalamu pdf
kilimo cha nyanya kwa heka moja
kilimo cha nyanya wakati wa mvua
kilimo cha nyanya tz
kilimo cha nyanya jamii forum
faida ya kilimo cha nyanya