Перейти к содержимому

S02E05 04June2014 Typhoid fever

AfyaCheck

0:00 / 0:00

S02E05 04June2014 Typhoid fever

7 087 просмотров · 12 лет назад
AfyaCheck
5,36 тыс. подписчиков
7 087 просмотров · 12 лет назад
AfyaCheck Darasa: Dr Isaac Maro anaelezea ni namna gani mtoto anapambana na vimelea vya maradhi vinavyomzunguka na umuhimu wa maziwa ya mama. Ni kwa nini tunasema maziwa ya mama ni muhimu kwa mtoto. AfyaCheck Maswali na Majibu: Kipindi pia kimefanyika hospitali ya MediCorp iliyo maeneo ya Mbuyuni Dar es salaam. Daktari mkuu wa medicorp Dr Egina Makwabe anazungumzia maradhi ya Homa ya Matumbo (TYPHOID FEVER)