YESU KRISTU NI MFALME
Edwiga Upendo
0:00 / 0:00
YESU KRISTU NI MFALME
618 023 просмотра · 5 лет назад
Edwiga Upendo
19,2 тыс. подписчиков
618 023 просмотра · 5 лет назад
MTUNZI: GERALD A. CHAVALLAH
MWIMBAJI: EDWIGA UPENDO
ORGANIST: EDWIGA UPENDO
AUDIO: THE GALAXY PRO
VIDEO: THE GALAXY PRO
Herini kwa sikukuu ya Bwana wetu Yesu Kristo Mfalme wapendwa. Napenda kuwatakia sherehe njema kwa watu wote, kwa namna ya pekee wale wanaoadhimisha sherehe ya somo, mwombezi na msimamizi wao katika makundi mbali mbali kuanzia ngazi ya Jimbo, Parokia, Parokia teule, Vigango, kwaya na mashirika mengine yote ya kitume. Herini sana kwa sikukuu hii kubwa. Kristo Mfalme AKATAWALE mioyo yetu tukaweze kuishi kwa kufuata neno lake. Amina