Перейти к содержимому

Jamaa Huyu Aliwezaje kuteka Ndege na Kutokomea na Mabilioni Bila Kukamatwa Hadi Leo HII? HUTAAMINI!

Charles Kombe

0:00 / 0:00

Jamaa Huyu Aliwezaje kuteka Ndege na Kutokomea na Mabilioni Bila Kukamatwa Hadi Leo HII? HUTAAMINI!

64 781 просмотр · 2 г. назад
Charles Kombe
260 тыс. подписчиков
64 781 просмотр · 2 г. назад
#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #DANCOOPER Leo nakupeleka katika taifa la Marekani ambapo jamaa mmoja alifanikiwa kufanya tukio la uhalifu ambalo hadi leo hii halijaweza kutatuliwa na yeye mwenyewe hakuwahi kujulikana wala kukamatwa. Jamaa huyu alikuwa ni mtu wa kwanza kabisa kuwahi kuteka ndege katika historia ya Marekani. Aliruka kwa kutumia parachuti akiwa na kiasi cha dola za Marekani laki mbili ambazo kwa thamani ya kipindi hiki inakadiriwa ni sawa na zaidi ya Bilioni 2 za Kitanzania. _________________________________________________________________________ MATUKIO YA KUTISHA: https://rb.gy/zol9ix MAKALA ZA KUSISIMUA: https://rb.gy/h3pkse MAKALA ZA HISTORIA: https://rb.gy/wg2aax For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com