Перейти к содержимому

MAOMBI YA ASUBUHI ILI KUFANIKIWA MAHALI PASIPO NA MAFANIKIO - S1EP3

Maombi Madhabahuni

0:00 / 0:00

MAOMBI YA ASUBUHI ILI KUFANIKIWA MAHALI PASIPO NA MAFANIKIO - S1EP3

274 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
Maombi Madhabahuni
2,17 тыс. подписчиков
274 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
Kupitia MTIRIRIKO WA MAOMBI HAYA YA ASUBUHI; Mtumishi wa BWANA atakufundisha na kukusaidia katika mambo yafuatayo: NI JINSI GANI MTU MWOMBAJI HUWEZA KUINUKA KUTOKA HATUA MOJA YA KUSHINDWA NA KUINGIA KATIKA HATUA KUBWA YA MAFANIKIO Maisha ni zaidi ya mechi ya Simba na Yanga Jinsi MAOMBI YA ASUBUHI yanavyoweza kukusaidia katika kuzishinda nguvu za kishetani. Jinsi ya kuomba MAOMBI YA ASUBUHI ili KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA Maombi asubuhi kama silaha ya kuwashinda maadui zako Nguvu ya maombi ya asubuhi katika kukupatia ushindi dhidi ya maadui zako wote. Jinsi ya kuomba na kupambana na nguvu za giza kila siku asubuhi Jinsi ya kuomba maombi ya vita vya kiroho Jinsi ya kuomba ili kupokea majibu ya maombi yako kila siku Nguvu ya maombi ya asubuhi katika kukuwezesha kurejeshewa Baraka zako zilizokuwa zimekamatwa na maadui zako Nguvu ya kupata kibali kipya katikati ya maadui zako. Jinsi ya kupokea msaada mpya wa kiungu wakati wa mapambano ya vita vya kiroho Jinsi ya kujenga madhabahu ya maombi ya asubuhi, ili kuchochea kuzaliwa kwa mambo mazuri kila siku Jinsi ya kujiungamanisha na malaika wa mchana kupitia madhabahu ya maombi Jinsi ya kuomba ili kuzishinda nguvu za giza MUHIMU KUMBUKA: Maombi haya ya asubuhi ni sehemu ya mtiririko wa ibada za GURUDUMU LA KINABII; Ibada mbazo zimesheheni moto na asili mbalimbali za BWANA Mungu wetu na Kristo wake hakika. #Simba #Yanga ##MaombiYaAsubuhi ENDELEA KUFUATILIA.