Перейти к содержимому

Jaji Warioba Azungumza Kuhusu Nchimbi, 'Sio Chawa' Aonesha Wasiwasi Kutompata Kwenye Simu

The Chanzo

0:00 / 0:00

Jaji Warioba Azungumza Kuhusu Nchimbi, 'Sio Chawa' Aonesha Wasiwasi Kutompata Kwenye Simu

149 785 просмотров · 19 часов назад
The Chanzo
256 тыс. подписчиков
149 785 просмотров · 19 часов назад
Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema haya kwenye jukwaa Demokrasia ambapo Jaji Warioba a,zeungumza kuhusu anavyomfahamu Nchimi pamoja na mambo ambayo aliyazungumza kuhusu aliyekuwa Makamu wa Rais Nchimbi ambaye amefukuzwa uanachama na chama chakle cha mapinduzi. Lakini pia katika jukwaa hilo pamejadiliwa mambo muhimu kuhusu demokrasia nchini Tanzania, katika mkutano huu wamehudhuria watu mbalimbali kujadili siasa na demokrasia ya Tanzania. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.