ROHO SABA ZA MUNGU - PART 1 Mwl. AMBANGILE MBWANJI
MANIFEST
0:00 / 0:00
ROHO SABA ZA MUNGU - PART 1 Mwl. AMBANGILE MBWANJI
18 просмотров · 12 ч назад
MANIFEST
3,58 тыс. подписчиков
18 просмотров · 12 ч назад
Katika somo hili tunajifunza kuhusu Roho Saba za Mungu kama zinavyofunuliwa katika Maandiko Matakatifu (Isaya 11:2 na Ufunuo 4:5).
Tutachunguza maana yake, asili yake na namna Roho wa Mungu anavyojidhihirisha kupitia hekima, ufahamu, shauri, nguvu, maarifa na kumcha Bwana.
Karibu tujifunze kwa pamoja na kuzidi kukua katika ufahamu wa Neno la Mungu.
Karibu Manifest – Kufunuliwa kwa wana wa Mungu, Utambulisho na Uzima ndani ya Kristo.
#RohoSabaZaMungu #NenoLaMungu #Manifest #BibleTeaching