Перейти к содержимому

Aslay - Kapeperuka (Official Lyric Video)

Aslay

0:00 / 0:00

Aslay - Kapeperuka (Official Lyric Video)

397 841 просмотр · 3 месяца назад
Aslay
1,36 млн подписчиков
397 841 просмотр · 3 месяца назад
https://Aslay.lnk.to/MyWay   / aslayofficial     / aslayisihaka     / aslayisiaka   "KAPEPERUKA LYRICS Nililifuma penzi kwa uzi wa chuma japo sina kucha alipowashwa nilimkuna Kuna muda aliumwa Hosptali ugonjwa hawakuona Nikafata wagonga Moro Tanga na Kigoma akaponaaa akapona yeye Nilifubaa nilichakaa kusudi asije lala na njaa na nilifanya mpaka kang’aa walioncheka walimshangaa Kapata mabawa karuka matawi kindege Kabeba hadi ndala sasa chooni naendaje eeeeh Nilijua nitakula mwenyew chakula nilichopika kumbe nilijenga barabara kila mtu anapita Kasuku uko wapi wewe Nilyekuita Malaika mi nilijuaga masihara kumbe ndo unaniponyoka umekwenda Kapeperuka Kapeperuka kaniachia maua Kapeperuka Kapeperuka Kipepeo Kapeperuka Kapeperuka Taabani naugua Kapeperuka Kapeperuka hoi hoi oooh yeyeye lelelelele angesema mapema nisingejisumbua ningemwacha afe tu wakati anaugua Nilipoteza muda wangu kumtibiaa kwakujua atakuwa wangu eti kanikimbia Nasikia anakula ananenepa Mwenzake nalialia nimebaki mifupa jama naugua naugua Nilie mtegemea jamani kanitupa Wanasema cha mtu mavi ukikiona kitemee mate ila cha kwangu asali wakitafuna kwa mkate Kapata mabawa karuka matawi kindege Kabeba hadi ndala sasa chooni naendaje eeeeh Nilijua nitakula mwenyewe chakula nilichopika kumbe nilijenga barabara kila mtu anapita Kasuku uko wapi wewe Nilyekuita Malaika mi nilijuaga masihara kumbe ndo unaniponyoka umekwenda Kapeperuka kapeperukaaaa kaniachia maua kapeperuka kaperukaa kipepeo wangu jamaan kipepeooo Kapeperuka kapeperuka taaabani nauguaaa kapeperuka kapeperuka hoi hoi oooh aaaaaah aaaaah "