Перейти к содержимому

Usipogeuza Mayai Haya Ndio Hutotolesha! (Sababu Muhimu)

MISSANA KUKU KUCHI TANZANIA

0:00 / 0:00

Usipogeuza Mayai Haya Ndio Hutotolesha! (Sababu Muhimu)

138 просмотров · 7 месяцев назад
MISSANA KUKU KUCHI TANZANIA
66 подписчиков
138 просмотров · 7 месяцев назад
Katika video hii utajifunza umuhimu wa kugeuza mayai wakati wa kuangua, iwe ni kwa kutumia incubator au njia ya asili. Kugeuza mayai husaidia kuzuia kifaranga kuganda upande mmoja wa yai na huongeza asilimia ya kuanguliwa kwa vifaranga wenye afya. Usikose kujifunza mara ngapi ugeuze mayai na kwa nini ni muhimu kwa mafanikio ya ufugaji wako wa kuku.KUMBUKA, video hii haioneshi ni jinsi gani kifaranga anageuka ndani ya yai kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya kumi na nane ila inaonesha kifaranga anatakiwa awe amekaaje kabla ya kuanguliwa. pia unaweza kutizama settings za lazima za mashine ya kutotolesha vifaranga.    • Settings Sahihi za Incubator kwa 90–95% Ha...   👉 Subscribe kwa elimu zaidi ya ufugaji na biashara ya kuku. HASHTAGS: #UmuhimuWaKugeuzaMayai #KugeuzaMayai #KuanguaMayai #KuanguaVifaranga #Incubator #UfugajiWaKuku #BiasharaYaKuku #KilimoNaUfugaji #JifunzeUfugaji missanakukukuchi