Перейти к содержимому

Magoli yote | Doumbia apiga mbili, Simba ikiifumua De Agosto 6-1 | CAF CL 21/10/2026

ufmradiotz

0:00 / 0:00

Magoli yote | Doumbia apiga mbili, Simba ikiifumua De Agosto 6-1 | CAF CL 21/10/2026

10 872 просмотра · 1 день назад
ufmradiotz
183 тыс. подписчиков
10 872 просмотра · 1 день назад
Simba SC ikiwa ugenini kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, imeichapa 15 de Agosto magoli 6-1, katika mchezo wa mkondo wa kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL Ibrahim Doumbia akitokea benchi, amefunga mawili dakika ya 64 na dakika ya 87, huku mengine yakitoka kwa Nathaniel Chilambo, Elie Mpanzu, keletso Makgalwa na Anicet Oura. Goli la kufutia machozi kwa wenyeji wa mchezo limefungwa na Alozie Uwandu dakika za nyongeza. #UFMRadio #SisiNiWewe