“NI SHOCK!”- UDOMASA YAVUNJA UKIMYA BAADA YA DKT. KAIJAGE KUACHIWA
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“NI SHOCK!”- UDOMASA YAVUNJA UKIMYA BAADA YA DKT. KAIJAGE KUACHIWA
1 526 просмотров · 10 дней назад
TMC NEWS TV
41,3 тыс. подписчиков
1 526 просмотров · 10 дней назад
“Tulikuwa tunasikia kwa Osama Bin Laden na watu wengine wakubwa, sasa imetokea kwetu.”
“Tunaweza kufanya kazi, lakini kwa wasiwasi; tukio hili limegusa morali yetu ya kufanya kazi na usalama wetu.”
“Tunauliza, tufundishe nini? Je, ni kitu cha darasani au ni mambo yaliyotokea nje ya darasa?”
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dkt. Gerald Shija, amesema tukio la kukamatwa na kushitakiwa kwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Meliksedeki Kaijage, limeibua hofu na wasiwasi miongoni mwa wanataaluma, huku akieleza kuwa kuachiwa kwake kumepokelewa kwa hisia mchanganyiko.
Dkt. Shija amesema UDOMASA inaendelea kufuatilia suala hilo na kufanya tathmini kuhusu athari zake kwa wanataaluma, ikiwemo morali ya kufanya kazi, usalama wa wahadhiri na uhuru wa kitaaluma.
NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#TMCNEWS565 #TMCNews #UDOM #UDOMASA #DktKaijage #GeraldShija #UhuruWaKitaaluma #Wanataaluma #Wahadhiri #ElimuTanzania #VyuoVikuu #Dodoma #Tanzania #Mahakama #Sheria #Haki #Usalama #Morali #Wasomi #AcademicFreedomTMC