Sylvain HB - MUNGU WA KWELI ( Official Music video)
Jesus - The Living Water
0:00 / 0:00
Sylvain HB - MUNGU WA KWELI ( Official Music video)
2 296 просмотров · 7 мес. назад
Jesus - The Living Water
74 подписчика
2 296 просмотров · 7 мес. назад
This is our official worship swahili song MUNGU WA KWELI writen by Sylvain HB. Through this song, we want you to experience God's boundless love, peace, and presence in your life. Our God is wonderful and very true.
Credits:
Video production: Gb Creative
Audio mixing & mastering: Aury Chris NISHIMWE
Band: -Keys: Daniel MUNGANGA & Christian Marlesh
-Bass: MakBass
-Electric guitar: David Juif
-Acoustic guitar: Myself
-Drums: Vivi drums
Bvocals: Eddy ND. , Wisley & Grace
Special thanks:
"All glory to God Almighty for inspiring this song! 🙏
Special thanks to CLM Church for spiritual support 💛
And to my amazing wife that I love so much for all the support.
Lyrics:
Verse 1
Wewe ni mwingi
Wa neema Baba wa milele
kila asubuhi nita ku sifu
Prechorus
Kwa neema umeni imarisha
katika upendo wako
Wewe ni mwamba wangu kimbiliyo yangu. Napo shindwa unani inuwa
Uko Karibu yangu daima
Wewe ni wimbo wangu wa milele
Chorus
Uko juu ya milima
Watawala na bahari
Hakuna aliye kama Wewe
Ume jaza moyo wangu na amani
Isiyo na kipimo
Nita imba sifa
We ni Mungu wa ajabu na wa kweli
We ni Mungu wa ajabu na wa kweli Eeeee
Hallelujah Oooh ooo yeeee come on
Verse 2
Wewe ni mwingi
Wa rehema baba
Wa upendo
Kila asubuhi nitaku sifu
Prechorus
Kwa neema umeni imarisha
katika upendo wako
Wewe ni mwamba wangu kimbiliyo yangu. Napo shindwa unani inuwa
Uko Karibu yangu daima
Wewe ni wimbo wangu wa milele (Yee eeeh)
Chorus
Uko juu ya milima
Watawala na bahari
Hakuna aliye kama Wewe (umejaza)
Ume jaza moyo wangu na amani (yeeeeh)
Isiyo (na kipimo ooooh) na kipimo (nita imba aaaah)
Nita imba (Yesu eeeh) sifa (sifa zako)
We ni Mungu (We ni Mungu wa ajabu) wa ajabu na wa kweli ( ehh ni wewe Bwana)
We ni Mungu wa ajabu (We ni Mungu wa ajabu na wa kweli) na wa kweli (Uko juu)
Uko juu ya milima (Yee eeeh)
Watawala na bahari
Hakuna aliye kama Wewe ( Hakuna aliye kama wewe oh Yesu eeeh)
Ume jaza moyo wangu na amani (Yeee)
Isiyo na kipimo (Amani yako aina kipimo Oooh)
Nita imba sifa (Nita imba nita sifu jina lako baba)
We ni Mungu (Yeeeehh) wa ajabu na wa kweli (We ni Mungu wa ajabu)
We ni Mungu (Mungu wa kweli)
(Twakwabudu wewe) We ni Mungu wa ajabu (Kimbiliyo yenu) na wa kweli (Musaada wetu)
We ni Mungu wa ajabu na wa kweli (Tuimbe sote Eeeeh)
We ni Mungu wa ajabu (come on) na wa kweli (Eeeh We ni Mungu wa ajabu)
We ni Mungu (twakwabudu) wa ajabu na wa kweli (Eeeh We ni Mungu wa Amani
We ni Mungu wa ajabu (Twakwinuwa) na wa kweli (Eeeh we ni Mungu wa ajabu)
We ni Mungu (Twakwabudu Twakwabudu) wa ajabu na wa kweli (Wewe ni Mungu )
We ni Mungu (Wa ajabu uuu) wa ajabu na wa kweli (Eeeh Jehovah Jireh)
We ni Mungu ( Jehovah Shammah) wa ajabu na wa kweli (we ni Mungu wa ajabu)
Hakuna kama na wewe eeehh Hallelujah
Hallelujah
We wastahili
Spontaneous
We watosha
We mwaminifu
Twaku inuliya mikono yetu
Tuki imba unatosha
Bwana wa Amani hapa ni wewe
Bwana wa Amani hapa
We ni mwanzo na mwisho
We ni Mungu wa ajabu
We ni Mungu wa ajabu
We ni Mungu wa kweli
We ni Mungu mwaminifu Bwana
We ni Mungu mwaminifu Bwana
Tumeona baraka zako
Tumeona nguvu zako
Tumeona mkono
Oooh tunaku imbiya Bwana Enda nasi
Yeee Jehovah Jireh Jehovah Shammah
Eeee Nani nawe ni Mungu wa ajabu
We ni Mungu wa kweli
We ni Mungu wa kweli
We ni Mungu wa kweli
We ni Mungu wa kweli
We ni Mungu wa ajabu na wa kweli
We ni Mungu wa ajabu na wa kweli