Перейти к содержимому

MABASI YA UMEME WADAIWA KUTIA WATU WAZIMU

ZANZIBAR YETU

0:00 / 0:00

MABASI YA UMEME WADAIWA KUTIA WATU WAZIMU

18 106 просмотров · 1 месяц назад
ZANZIBAR YETU
10,5 тыс. подписчиков
18 106 просмотров · 1 месяц назад
Khamis Shaaban mkaazi wa Jimbo la Magomeni ametaka auliziwe suali lake ndani ya Baraza la Wawakilishi kuulizwa waziri kaika kanuni na sheria ifuatwe ipi na kutaka jambo lolote lenye maslahi na wananchi jambo hilo lirudishwe kwa wananchi kuhojiwa kupatikana maoni. Khamis amesema wazanzibari nafasi zao ni kilimo, na biashara ikiwemo bishara ya maduka na biashara ya kusafiri lakini baadhi ya mambo wananchi hawashirikishwi ikiwemo suala la kuletwa gari za umeme ambazo wananchi wenyewe walioletewa huduma hiyo hawajashirikishwa ambapo kuja kwa gari hizo kumesababisha ugumu wa maisha.