Перейти к содержимому

ONGEZEKO LA WATU KISARAWE LAMUIBUA JAFO - AISHAURI SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU MAALUM YA BARABARA

Global TV Online

0:00 / 0:00

ONGEZEKO LA WATU KISARAWE LAMUIBUA JAFO - AISHAURI SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU MAALUM YA BARABARA

433 просмотра · 7 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
433 просмотра · 7 ч назад
ONGEZEKO LA WATU KISARAWE LAMUIBUA JAFO - AISHAURI SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU MAALUM YA BARABARA Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Mhe. Dkt. Selemani Said Jafo, ameibua bungeni suala la ongezeko kubwa la watu katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe na kuiomba serikali kuweka mpango maalum wa miundombinu (Special Infrastructure Development Zone) kwa ajili ya kujenga barabara za lami. #Kisarawe #SelemaniJafo #TAMISEMI #Bunge #GlobalTVOnline #Habari ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com