Перейти к содержимому

MWANZA: Ulipofikia ujenzi kanisa jipya la FPCT City Centre kwa Pastor Makanza

FPCT Shalom Temple Kahama

0:00 / 0:00

MWANZA: Ulipofikia ujenzi kanisa jipya la FPCT City Centre kwa Pastor Makanza

1 442 просмотра · 7 л. назад
FPCT Shalom Temple Kahama
37,5 тыс. подписчиков
1 442 просмотра · 7 л. назад
Hili ni kanisa la muda kitambo na historia yake ni ndefu sana, kanisa hili walianzia kusali katika shule ya sekondari pale jijini Mwanza na baadae wakahamia katika jengo flani lililopo mtaa wa Rufiji jirani na soko la mlango mmoja, kanis hili limechungwa na wachungaji tofautitofauti kama vile Athanasi Chiruza Bagenda, mchungaji Amosi Thomas hulilo na sasa mchungaji Makanza, Oktoba 11-13 2018 Pastor wetu Sixberth Kuzenza alialikwa na idara mpya ya sifa na muziki kanisa la mahali Mwanza mjini (Kitangiri) na kama kawa mwandishi wetu Sabuhoro alipata muda kufika katika tawi hili la FPCT Mjini kati tawi ambalo ni miongoni mwa matawi yanayounda kanisa la mahali Mwanza mjini katika Parishi ya Kitangiri, clip fupi hapa inaonyesha ujenzi wa jengo hilo unavyoendelea na ulipofikia leo Oktoba 13 2018