SOMO: HEMA YA KUKUTANIA (Urejesho wa Ibada Halisi) by Pastor SAM GRIPPER.
Minister Deodavid
0:00 / 0:00
SOMO: HEMA YA KUKUTANIA (Urejesho wa Ibada Halisi) by Pastor SAM GRIPPER.
159 просмотров · 1 год назад
Minister Deodavid
743 подписчика
159 просмотров · 1 год назад
Kutoka 25:1-2, 8-9
1 Bwana akanena na Musa, akamwambia,
2 Waambie wana wa Israeli kwamba wanitwalie sadaka; kila mtu ambaye moyo wake wampa kupenda mtatwaa kwake sadaka yangu.
8 Nao na wanifanyie patakatifu; ili nipate kukaa kati yao.
9 Sawasawa na haya yote nikuonyeshayo, mfano wa maskani, na mfano wa vyombo vyake vyote, ndivyo mtakavyovifanya.
#HEMANI 2025
#prayergathering
#ThesecretplacewithGod
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ibada hii iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu @ministerdeodavid Katika Jiji la Dae wa Salaam. Tarehe 20/06/2025. Shukrani kwa watumishi wote tuliohudumu, Kuongoza MAOMBI, sifa Na NENO la Mungu.
✍️ Namshukuru Mungu kwa ajili ya mtumishi wake na kaka na ndugu yangu #PASTOR SAM GRIPPER kutokea kanisa la @totaltransformationministr1612 kwa Kukubali Kutulisha NENO la Mungu.
Please Share, Like & Comment. Ili kupata Baraka nyingine nyingi