Перейти к содержимому

KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe'

Global TV Online

0:00 / 0:00

KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe'

234 127 просмотров · 9 лет назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
234 127 просмотров · 9 лет назад
SUBSCRIBE NOW    / uwazi1   Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A unaokwenda kwa jina la ZIMBABWE, Mama Ivan ambaye ni mke halali wa ROMA amefunguka mengi alipokuwa akifanya interview na Kelvin Shayo kupitia hapa Global TV ambapo moja ya vitu alivyovizungumza ni kuhusu mbunge aliyesema Roma alimtukana mkuu. Pia amezungumzia mapokezi ya wimbo huo yalivyomshangaza na kuvunja rekodi kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na kuwashukuru watanzania wote walioungana naye na kumfariji wakati wa matatizo. Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .