Перейти к содержимому

🔴#LIVE Ibada ya Kufungua Sabato || MUNGU WA MAMBO MAPYA NA MIANZO YA MATUMAINI - Mch. Faraja Jacob

Mwenge SDA Church

0:00 / 0:00

🔴#LIVE Ibada ya Kufungua Sabato || MUNGU WA MAMBO MAPYA NA MIANZO YA MATUMAINI - Mch. Faraja Jacob

443 просмотра · Трансляция закончилась 8 часов назад
Mwenge SDA Church
18,4 тыс. подписчиков
443 просмотра · Трансляция закончилась 8 часов назад
#IbadayaKufunguaSabato #SabatoNjema #happysabbathday Karibu kuungana nasi katika Ibada Maalumu ya Kufungua Sabato || 016 Oktoba, 2026 Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Gerald Nyakrere +255 688 779 995 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela).. ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela). Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive TikTok: Mwenge SDA Church Mungu akubariki.