KARIBU AL-YUMNA TV 🕌 | Elimu, Habari na Maadili ya Kiislamu
AL-YUMNA TV и AL- Wazan Tv
0:00 / 0:00
KARIBU AL-YUMNA TV 🕌 | Elimu, Habari na Maadili ya Kiislamu
101 просмотр · 5 мес. назад
AL-YUMNA TV и AL- Wazan Tv
101 просмотр · 5 мес. назад
Karibu kwenye AL-YUMNA TV — kituo cha televisheni cha Kiislamu kinacholenga kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii kupitia maudhui yenye manufaa kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah.
Kupitia chaneli hii utapata:
Darsa na mawaidha ya Kiislamu
Vipindi vya Qur’an na Tafsir
Historia ya Uislamu
Habari za ulimwengu wa Kiislamu
Mafunzo ya Akhlaq na malezi
Vipindi vya vijana, wanawake na familia
Live streams na mijadala ya kielimu
Makala za kuhamasisha umoja na maadili mema
Lengo letu ni kusambaza elimu yenye manufaa kwa lugha ya Kiswahili kwa Waislamu na jamii yote kwa ujumla.
📌 Subscribe sasa, washa kengele ya notifications, share na uungane nasi katika safari ya elimu na dawah.
AL-YUMNA TV- Njia ya Uongofu.