TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 17): Rogers, Muingereza Aliyejifanya 'Mfalme wa 8' wa Zanzibar
Gumzo la Ghassani
0:00 / 0:00
TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 17): Rogers, Muingereza Aliyejifanya 'Mfalme wa 8' wa Zanzibar
1 724 просмотра · 3 года назад
Gumzo la Ghassani
45,3 тыс. подписчиков
1 724 просмотра · 3 года назад
Baina ya kifo cha Sayyid Hamoud bin Mohammed na kutawala rasmi mwanawe, Sayyid Ali bin Hamoud, palikuwa na miaka mitatu ya kiti cha ufalme wa Zanzibar kuwa mikononi mwa Waziri Kiongozi wa utawala wa kikoloni wa Uingereza, Alexander Stuart Rogers, kwa sababu Sayyid Ali hakuwa ametimiza miaka 21 iliyowekwa na wakoloni kuwa umri wa mtawala wa kifalme kukabidhiwa madaraka.