LUSHOTO:BILIONI 9.6 ZAMWAGWA LUSHOTO KWA UJENZI WA SOKO NA UPANUZI WA STEND LUSHOTO MJINI:
Usambara Online tv
0:00 / 0:00
LUSHOTO:BILIONI 9.6 ZAMWAGWA LUSHOTO KWA UJENZI WA SOKO NA UPANUZI WA STEND LUSHOTO MJINI:
323 просмотра · 2 месяца назад
Usambara Online tv
920 подписчиков
323 просмотра · 2 месяца назад
Hayo yalitokea wakati wa utiaji saini ya ujenzi huo ambao utaanza hivi karibuni ambapo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na serikali za mitaa TAMISEMI prof Riziki Silasi Shemdoe ambae pia ni mbunge wa Jimbo la lushoto aliongea na Wananchi wa Jimbo hio na kusema kua fedha hizo hazifiki halmashauri Bali zinapitia moja Kwa moja Kwa wahusika wa zoezi Hilo..
nao wa bunge wa majimbo ya wilaya ya lushoto walishuhudia ujazaji wa mkataba huo na wao walikua na yakusema.
Nae mkuu wa wilaya hiyo mhe Zephania Sumaye alisema kua lushoto ipo salama kabisa na Wananchi wake wanaendelea na shuhuli zao za ujenzi wa taifa kama kawaida...