Перейти к содержимому

Kuna kina_Pastor Jordan and Waters of Life(official Audio)

Pastor Jordan Mwakatage и Minister Goldie Jordan

0:00 / 0:00

Kuna kina_Pastor Jordan and Waters of Life(official Audio)

1 761 просмотр · 2 недели назад
Pastor Jordan Mwakatage и Minister Goldie Jordan
1 761 просмотр · 2 недели назад
Waefeso 3:14-20 [14]Kwa hiyo nampigia Baba magoti, For this cause I bow my knees unto the Father of our Lord Jesus Christ, [15]ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa, Of whom the whole family in heaven and earth is named, [16]awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani. That he would grant you, according to the riches of his glory, to be strengthened with might by his Spirit in the inner man; [17]Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo; That Christ may dwell in your hearts by faith; that ye, being rooted and grounded in love, [18]ili mpate kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, na urefu, na kimo, na kina; May be able to comprehend with all saints what is the breadth, and length, and depth, and height; [19]na kuujua upendo wake Kristo, upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi, mpate kutimilika kwa utimilifu wote wa Mungu. And to know the love of Christ, which passeth knowledge, that ye might be filled with all the fulness of God. [20]Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; Now unto him that is able to do exceeding abundantly above all that we ask or think, according to the power that worketh in us,