Historia Ya Mtunzi Wa Wimbo "Yesu Aliniita Njoo"
7T7 MINISTRY
0:00 / 0:00
Historia Ya Mtunzi Wa Wimbo "Yesu Aliniita Njoo"
4 736 просмотров · 4 г. назад
7T7 MINISTRY
15,3 тыс. подписчиков
4 736 просмотров · 4 г. назад
Wimbo huu ulitungwa na Horatius Bonar, mtu aliyezaliwa katika familia ya kichungaji na yeye mwenyewe kuwa mchungaji. Lakini alifutwa kazi ya kichungaji kwa sababu ya migogoro kanisani.