Mkasa wa Eastleigh: Familia za walionaswa zaendelea kutilia shaka uokoaji
KBC Channel 1
0:00 / 0:00
Mkasa wa Eastleigh: Familia za walionaswa zaendelea kutilia shaka uokoaji
600 просмотров · 1 день назад
KBC Channel 1
792 тыс. подписчиков
600 просмотров · 1 день назад
Familia za watu ambao bado wamenaswa chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka katika mtaa wa Eastleigh siku ya Ijumaa, zimeonesha kutoridhishwa na jinsi operesheni ya uokoaji inavyotekelezwa na kundi linalohusisha mashirika mbalimbali. Familia hizo sasa zinataka wale waliopewa jukumu la kuwaokoa walionaswa kuharakisha juhudi zao, ili kuhakikisha kuwa zinaungana tena na wapendwa wao. Kulingana na kundi lililo eneo la tukio, watu 38 bado hawajapatikana, huku watu watatu pekee ndio wameokolewa tangu mkasa huo utokee ijumaa iliyopita.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive