Перейти к содержимому

Faida za Kitunguu swaumu na Jinsi ya kutumia kitunguu saumu kama tiba kwa usahihi

Mshani Wellness

0:00 / 0:00

Faida za Kitunguu swaumu na Jinsi ya kutumia kitunguu saumu kama tiba kwa usahihi

14 347 просмотров · 1 год назад
Mshani Wellness
102 тыс. подписчиков
14 347 просмотров · 1 год назад
Karibu kwenye chaneli yetu! Katika video hii, tunazungumzia faida za kitunguu saumu (garlic) kwa afya yako na njia sahihi za kukiandaa kama tiba. Kitunguu saumu ni kiungo chenye nguvu nyingi za kiafya na kimekuwa kikitumiwa kwa karne nyingi katika tiba asili. Baadhi ya faida kuu unazoweza kupata kwa kutumia kitunguu saumu ni pamoja na 1. Kuimarisha Kinga ya Mwili 2. Kupunguza Shinikizo la Damu 3. Kupambana na Magonjwa ya Kansa 4. Kuzuia Maambukizi 5. Kuboresha Afya ya Ubongo 6. Kusaidia Kupunguza Uzito 7. Afya ya Ngozi 8. Kupunguza Uchovu 9. Kusaidia Mmeng'enyo wa Chakula Follow us on: Facebook:   / mshaniwellness   Instagram:   / mshani_wellness   Twitter(X):   / mshaniwellness   TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne... Whatsapp Group: https://chat.whatsapp.com/Cmmd4Azdy1u... Contact: 0743039890