Mwanamke Mjinga, episode 1
KAJUKA TV
0:00 / 0:00
Mwanamke Mjinga, episode 1
322 просмотра · 2 нед. назад
KAJUKA TV
38 подписчиков
322 просмотра · 2 нед. назад
Ali toka kijijini akiwa mwanamke mwenye heshima na adabu nyingi, lakini ame badilika baada ya kufika mjini na kukutana na vijana wa mjini,
ana jikuta katika anguko la kimapenzi na rafiki wa mume wake,
ana anza kumdharau mumewe na kui momonyoa ndoa yake taratibu, bila kujua hatima ya hayo yote ni nini,
je unadhani mwisho wake utakuwa upi?