Перейти к содержимому

Идёт прямой эфир

Трансляции Youvio пока не открывает — они идут другим способом доставки, чем обычные видео. Записи завершённых эфиров и остальные ролики работают как всегда.

🔴 LIVE : MSIBA WA DEREVA MWENZETU|| UNGANA NASI UONE JINSI ILIVYOKUWA|| AMEZIKWA TAREHE 13- TWENDE..

В эфиреСейчас смотрят: 14 · Трансляция началась 2 часа назад
CHAWAMATA TV
33,1 тыс. подписчиков
Сейчас смотрят: 14 · Трансляция началась 2 часа назад
Matangazo haya siyo ya leo, ilikuwa tarehe 13 wakati akitolewa Mochwari mpaka kufikishwa nyumbani kwa Mama yake mkubwa Chamazi, ikafanyika misa ya mwisho na kumuaga kisha kwenda kupumzishwa katika nyumba yake ya milele. Ungana nasi kama haukupata nafasi ya kufahamu kilichokuwa kimejiri siku ya juzi. Usisahau ku- subscribe CHAWAMATA TV. Ili uwe wa kwanza kupata habari zinazotoka hapa hapa Chawamata Tv.