JUTO LA HUBA EP 5
Nyabiri King
0:00 / 0:00
JUTO LA HUBA EP 5
50 просмотров · 5 дн. назад
Nyabiri King
353 подписчика
50 просмотров · 5 дн. назад
Maisha ya Regina yamefikia hatua ya kulia kila wakati baada ya siri kujulikana sasa Marius amekuja na mbinu mpya ya kuhakikisha atasababisha Jovin anamuacha Regina, Je, mpango huo utafanikiwa? Endelea kuwa nasi, JUTO LA HUBA itakufundisha jambo moja muhimu sana!
Mwandaaji na Mtayarishajini Elia MarkoNyabiri ( Nyabiri King)