Nini Kilitokea vita ya NBA Young Boy Vs King von, Lil durk! Ugonjwa unaomtishia maisha! | Part 2
Tricod Media
0:00 / 0:00
Nini Kilitokea vita ya NBA Young Boy Vs King von, Lil durk! Ugonjwa unaomtishia maisha! | Part 2
13 229 просмотров · 3 нед. назад
Tricod Media
429 тыс. подписчиков
13 229 просмотров · 3 нед. назад
Nini Kilitokea vita ya NBA Young Boy Vs King von, Lil durk! Ugonjwa unaomtishia maisha! | Part 2
katika sehemu ya pili ya simulizi hii. Jua ukweli kuhusu mapambano ya kisasi jijini Chicago.
Video hii inaelezea kwa kina vita vya Youngboy vs King Von na jinsi uhasama ulivyokua kati yake na Lil Durk. Kwa mashabiki wa rap ya Chicago, simulizi hii inatoa mwanga kuhusu matukio yaliyotokea na picha za kipekee za Youngboy na wapambe wake.
Simulizi hii inalenga kufafanua historia ya Youngboy na mfululizo wa matukio ya kisasi cha Youngboy ambayo yalitawala vichwa vya habari. Pia utaona maisha yake binafsi na tukio la kuvutia na mpenzi wake.
Jiunge na chaneli hii kwa uchambuzi wa kila wiki wa simulizi za wasanii, na andika kwenye comment hapo chini ni msanii gani ungependa tumzungumzie Video ijayo.
PATA NAKALA YAKO!
Level 01. kioo cha maumivu
Level 02. Moto unaounguza
Level 03. Nuru Inayo angaza
PDF Tsh. 10,000/=
Hard Copy 20,000/=
MAWASILIANO!
Vodacom +255 745 002 324
Yas +255 713 728 986
#NBAYoungBoy #KingVon #LilDurk #KodakBlack