Перейти к содержимому

GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji

Millard Ayo

0:00 / 0:00

GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji

9 981 просмотр · 8 лет назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
9 981 просмотр · 8 лет назад
Apollo hospitals, India wamekuja na mbinu mpya ya Kutibu uvimbe ktk kizazi, tezi dume, kansa ya ini na mgongo. wamefanya Huduma ya kliniki kaitka hospitali ya Hitech Sai Upanga. Kliniki hii ilihusu mbinu mpya ya Matibabu bila upasuaji. Dr Sandip Jhala anaelezea Namna ya Kutibu magonjwa ya uvimbe Kwenye kizazi (Fibroids), Mgongo, Kuuma (lower back pain) Kansa ya ini na tezi dume bila upasuaji.