ZUMARI | Ijue historia ya Mwalimu mstaafu wa sanaa Rashid Masimbi | UTV Tanzania
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
ZUMARI | Ijue historia ya Mwalimu mstaafu wa sanaa Rashid Masimbi | UTV Tanzania
305 просмотров · 1 день назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
305 просмотров · 1 день назад
Badhi ya watu husema somo la historia halina umuhimu shuleni hivyo ni mzigo tu kwa wanafunzi, Mwalimu Mstaafu wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo, Rashid Masimbi akizungumza kupitia kipindi cha #Zumari amepinga usemi huo, ambapo ameeleza kuwa somo hilo halibebi historia tu, bali pia utamaduni wa wapi taifa limetoka.