Kheri InshaAllah Baraka Tele|Cover|MeddyAiMix
𝑴𝒆𝒅𝒅𝒚𝑨𝒊𝑴𝒊𝒙
0:00 / 0:00
Kheri InshaAllah Baraka Tele|Cover|MeddyAiMix
8 034 просмотра · 10 дней назад
𝑴𝒆𝒅𝒅𝒚𝑨𝒊𝑴𝒊𝒙
1,44 тыс. подписчиков
8 034 просмотра · 10 дней назад
Kheri In Shaa Allah (Wedding Qasida Cover) 💍✨
Habari za harusi! Nimefurahi kuwaletea cover hii nzuri sana ya qasida "Kheri In Shaa Allah" asili kutoka Almadrasatul Nah-dhat.
Ujumbe mzuri wa upendo, baraka, na dua kwa ajili ya maharusi wetu wapendwa wanaoanza safari yao mpya ya ndoa. Mabruk sana kwa wote! 🤲🕊️💖
🎧 Usisahau Kusikiliza, Kulike, na Kusambaza (Share) kwa marafiki na familia!