Перейти к содержимому

Festo Mkirindi - Hakuna Mwingine|Official Gospel Song

Pastor Festo Mkirindi

0:00 / 0:00

Festo Mkirindi - Hakuna Mwingine|Official Gospel Song

594 просмотра · 1 месяц назад
Pastor Festo Mkirindi
17 подписчиков
594 просмотра · 1 месяц назад
🎵 HAKUNA MWINGINE ILA WEWE – Festo Mkirindi 🎵 Kuna mambo ambayo hakuna mwanadamu anayeweza kufanya kwa ajili yetu. Kuna nyakati tunagundua kwamba msaada wa kweli, tumaini la kweli na upendo wa kweli unatoka kwa Mungu. Hakuna mwingine ila Wewe... Hakuna kwingine ila Kwako... 🙌🏽🔥 Wimbo huu ni sauti ya upendo, shukrani na ibada kwa Mungu kwa wema wake, fadhili zake na upendo wake usiobadilika. Nimeuandika wimbo huu kwa moyo wa kumtukuza Mungu na kukiri kwamba, katika kila jambo, hakuna mwingine ila Yeye. ❤️‍🔥 🎧 Sikiliza wimbo huu, mwabudu pamoja nami na mshirikishe mtu mwingine. 🙏🏽 Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share ili ujumbe wa wimbo huu uwafikie watu wengi zaidi. 🎵 Title: Hakuna Mwingine Ila Wewe ✍🏽 Written by: Festo Mkirindi #HakunaMwingineIlaWewe #FestoMkirindi #SwahiliGospel #GospelMusic #AfricanGospel #ChristianMusic #Worship #Jesus #Gospel2026 #Boazdanken #boazdanken #dripyana #africangospel #christianmusic #facebook #gospelmusic #gospelworship #instagram