🔴LIVE: UZINDUZI RASMI WA KAMBI KINYEREZI SDA CHURCH II 12-09-2026
Kinyerezi SDA Church
0:00 / 0:00
🔴LIVE: UZINDUZI RASMI WA KAMBI KINYEREZI SDA CHURCH II 12-09-2026
271 просмотр · Трансляция закончилась 10 часов назад
Kinyerezi SDA Church
2,44 тыс. подписчиков
271 просмотр · Трансляция закончилась 10 часов назад
IBADA YA SABATO 🙏✨
📖 Karibu katika Ibada ya SABATO YA UFUNGUZI WA MAKAMBI
Inayofanyika kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato – Kinyerezi.
🕊️ Ni wakati wa kumtafuta Mungu kwa maombi, kumshukuru kwa wema wake na kuweka maisha yetu mikononi mwake.
Usikose kushiriki nasi katika ibada hii ya baraka.
🔔 USISAHAU:
👍 Like
💬 Comment
🔔 Subscribe
📲 Follow