Перейти к содержимому

KAMANDA MUTAFUNGWA AWAPA ONYO KALI MADEREVA GUTA|ATOA MAELEKEZO HAYA.

Daily News Digital

0:00 / 0:00

KAMANDA MUTAFUNGWA AWAPA ONYO KALI MADEREVA GUTA|ATOA MAELEKEZO HAYA.

143 просмотра · 23 часа назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
143 просмотра · 23 часа назад
MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaonya madereva wanaoendesha pikipiki za mizigo aina ya Guta baada ya kubainika kuwa baadhi yao wamekuwa wakipakia mizigo kwa namna inayohatarisha usalama wao na watumiaji wengine wa barabara. Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutoa elimu kwa madereva hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema Jeshi la Polisi limekuwa likipokea taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu baadhi ya madereva wa pikipiki za magurudumu matatu wanaokiuka sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani, hususan katika upakiaji wa mizigo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09