Перейти к содержимому

MUDA || MAGOTO SDA CHOIR

MAGOTO SDA CHOIR

0:00 / 0:00

MUDA || MAGOTO SDA CHOIR

1 158 просмотров · 10 месяцев назад
MAGOTO SDA CHOIR
133 подписчика
1 158 просмотров · 10 месяцев назад
Magoto SDA Choir inawaletea wimbo Mpya wa kugusa moyo unaoitwa “MUDA.” Wimbo huu unasisitiza umuhimu wa kutumia muda tuliopewa kwa hekima, kwa ajili ya kumtumikia Mungu na kujiandaa kwa maisha ya milele. ⌛ “Kwa kila jambo kuna majira yake, na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.” (Mhubiri 3:1) Ujumbe huu ni wa kutufikirisha, kutubu, na kuishi maisha yenye maana kwa utukufu wa Mungu. Sikiliza, tafakari, na shiriki baraka hii na wengine. Usisahau kulike, kushare na ku-subscribe kwa nyimbo zaidi za kiroho. #MUDA #MagotoSDAChoir #GospelMessage #SDAChurch #TimeWithGod #MagotoMusic #GospelSong #TumikaKwaWakati