Перейти к содержимому

1.SEMINA YA MOTO WA UAMSHO | AGANO LA MUNGU LA KUTAKA KUTEMBEA NA WEWE

TAG-ART TV

0:00 / 0:00

1.SEMINA YA MOTO WA UAMSHO | AGANO LA MUNGU LA KUTAKA KUTEMBEA NA WEWE

72 просмотра · 1 г. назад
TAG-ART TV
235 подписчиков
72 просмотра · 1 г. назад
Jiunge nasi katika Semina ya Moto wa Uamsho iliyojaa Nguvu, Upako na Neno la Uzima! Katika ujumbe huu, tunafunuliwa kuhusu Agano la Mungu la kutembea na mwanadamu – agano la ushirika wa karibu na ufunuo wa utukufu Wake. 🔥 Ujumbe huu utaimarisha imani yako, na kukutia moyo kutembea na Mungu kwa uaminifu na utiifu. Misingi ya Maandiko: 📖 Mwanzo 17:1-2 – “Nitafanya agano langu kati yangu na wewe…” 📖 Kutoka 33:14-16 – “Uso wangu utaenda pamoja nawe…” 📖 Mika 6:8 – “…kutembea kwa unyenyekevu na Mungu wako.” 🕊️ Usikose nafasi hii ya kipekee ya kubadilishwa kwa Neno la Mungu! 📍 TAG AGAPE Nyakanazi – Biharamulo, Kagera 🔔 Usisahau ku-subscribe, kulike, na kushare ili kuwabariki wengine!