Перейти к содержимому

Mambo 5 ya Kihisia Yanayokwamisha Maisha Yako (Na Jinsi ya Kutoka)

Fikra Chanya

0:00 / 0:00

Mambo 5 ya Kihisia Yanayokwamisha Maisha Yako (Na Jinsi ya Kutoka)

2 746 просмотров · 8 мес. назад
Fikra Chanya
38,5 тыс. подписчиков
2 746 просмотров · 8 мес. назад
Je, umewahi kuhisi uzito kifuani bila sababu inayoeleweka? Unaonekana sawa kwa nje, lakini ndani unahisi kuna kitu kimekufa au kuvunjika? Katika video hii, tunachambua mambo 5 ya kihisia ambayo saikolojia inaonyesha kuwa ndiyo chanzo cha: Kukwama kimaisha Mahusiano yasiyo na afya Stress, overthinking na kukosa furaha ya kweli Tutazungumzia: Hofu ya kutofaa Utegemezi wa kihisia Hasira na kinyongo Hofu ya upweke Kung’ang’ania visivyoweza kubadilika (ufunguo wa uhuru wa kweli) ⚠️ Jambo la 5 ndilo wengi hulikwepa… lakini likikuelewa, maisha yako hayabaki vile vile. 📌 Kama unapitia changamoto za kihisia, mahusiano magumu, au unatafuta inner peace, video hii ni kwa ajili yako. 👉 Subscribe, like na share kwa mtu mmoja unayemjali. Huenda ikawa msaada mkubwa kwake. #afyayakili #saikolojia #hisia #maisha #emotionalhealing #innerpeace #selflove #mentalhealth #overthinking #stress #mahusiano #personalgrowth #mindset #motivationswahili