KIKAO CHA 01 | UTANGULIZI WA AQIYDAH SAHIHI | UST. ABUU MAYMUNA
Markaz Ibn Qayim Nungwi
0:00 / 0:00
KIKAO CHA 01 | UTANGULIZI WA AQIYDAH SAHIHI | UST. ABUU MAYMUNA
59 просмотров · 9 дн. назад
Markaz Ibn Qayim Nungwi
311 подписчиков
59 просмотров · 9 дн. назад
Karibu katika Kikao cha Kwanza cha Darsa Maalum la Aqiydah, kutoka Markaz Ibn Qayim al-Jauziyah Lil Halaqat Ilmyah – Nungwi, Zanzibar.
Katika darsa hili, tunaanza kujifunza kitabu:
مُقَدِّمَاتٌ فِي الْعَقِيدَةِ الصَّحِيحة
Muqaddimāt fī al-ʿAqīdat aṣ-Ṣaḥīḥah
Darsa hili linazungumzia umuhimu wa Aqiydah sahihi, ambayo ndiyo msingi wa dini, elimu na matendo ya Muislamu. Mwanafunzi atafahamishwa misingi muhimu ya itikadi kwa mujibu wa Kitabu cha Allah, Sunnah za Mtume Muhammad ﷺ na ufahamu wa Salaf Saleh.
Darsa hili ni muhimu kwa:
Wanaoanza kujifunza Aqiydah;
Watafutaji wa elimu;
Kila Muislamu anayependa kuijenga dini yake juu ya msingi sahihi.