Jay Moe -Tukusa 3Vii (Official Audio )
Black Ninjah🇹🇿
0:00 / 0:00
Jay Moe -Tukusa 3Vii (Official Audio )
49 465 просмотров · 5 месяцев назад
Black Ninjah🇹🇿
10,5 тыс. подписчиков
49 465 просмотров · 5 месяцев назад
Intro:
This is grown man music..
It's Jay to the Moe..
And BBC once again yoh!!
Chorus:
Oooh yeaah!!... Nashkuru siku hizi nimekua
Maisha yangu ya ujana kufuru, chizi nilikua
Wazazi wanafurahi kuona, lately mnyamwezi nimepoa
...Siyo yule tena, cos life changes as you grow up!
Verse 1:
Huh!..Nashkuru nishavuka ujana, nimekuwa mtu nzima
Maana maisha yangu ya ujana, ilikuwa zaidi ya noma
Twende kilioni kwenye kichwa, au nywele nime chana
Afro..nikiona picha, inanikumbusha enzi hizo bhana
Mialiko ikulu, me sikuvaaga suti wala tai
Ni mwendo wa kapelo, t-shirt kubwa, jeans kata k.
Dar mpaka moro, dom, shy..me nachapa bae
Chapa show, nijaze kibaba, nikale bata o'bey
...Na skosi kitu, kokote ukinikuta
Washkaji wakiona sehemu nipo, wana uhakika hata puff watapata
Kila siku ilikuwa ni bata..nyumbani hutonipata
Nachenji viwanja, mchana msasani usiku tabata
.....Hah! Nimemaliza ndo uzee unakuja
...Nimewekeza, ujana umekwisha, mzee sijachuja
Ndo kwanza nawaza niwekeze arusha, mwanza au unguja
Mambo ya kibogus, niliachaga, hayana tena hoja...
Bridge:
Siendi pub, siendi club, na nkitoka out..
It's only for a couple of hours, siwezi kaa hadi late..
There's no debate, man i been there, i done that
Na ukizingatia, siku pia, haziwezi ganda!.
Chorus:
... Nashkuru siku hizi nimekua
Maisha yangu ya ujana kufuru, chizi nilikua
Wazazi wanafurahi kuona, lately mnyamwezi nimepoa
...Siyo yule tena, cos life changes as you grow up!
Oooh yeaah!!... Nashkuru siku hizi nimekua
Maisha yangu ya ujana kufuru, chizi nilikua
Wazazi wanafurahi kuona, lately mnyamwezi nimepoa
...Siyo yule tena, cos life changes as you grow up!
Verse 2:
Huh!..Kukaa maskani, bora nimekua, ilikuwaga sio
Maana kila siku, na polisi, wananifukuza mbio
Mara nimechora tattoo, mara nimetoga maskio
Mradi tu, si unajua ujana? Ilikuwaga vilio
Najua kusaka pesa, tangu niko dogo..
At 22, na profesa, on tour, uliza ludigo
Mambo ya kukesha week nzima..na hakuna fatigue yoh
Hakuna cha figo, nashkuru nimekua, nimeachana na hizo pigo
Ndo maana sicheki, nkuona wamevaa cheni feki
...Inanikumbusha ujana, mbili tatu kwenye chest ukinicheck..
Nini sijafanya, enzi zangu niko junk..
Hamna pesa kwenye akaunti, ni starehe mchana neema, usiku Jackie
....Walizoea natoka kihuni
Pata potea, nshakuwa mtu mzima, mwendo wa suti moca chini..
Zamani ndo nilifanya ubrotherman
Siku hizi majukumu, unachowaza mchana nyumbani watakula nini..
Simuoni mjanja, uliye goma kuzeeka
..Ujana ushakwisha, huwezi force wazee wenzako watakucheka
Maana kila kitu uenda na miaka
Wenzako johari rotana, we maskani unavuta, haujabadilika!.
Chorus:
... Nashkuru siku hizi nimekua
Maisha yangu ya ujana kufuru, chizi nilikua
Wazazi wanafurahi kuona, lately mnyamwezi nimepoa
...Siyo yule tena, cos life changes as you grow up!
Oooh yeaah!!... Nashkuru siku hizi nimekua
Maisha yangu ya ujana kufuru, chizi nilikua
Wazazi wanafurahi kuona, lately mnyamwezi nimepoa
...Siyo yule tena, cos life changes as you grow up!
Bridge:
Siendi pub, siendi club, na nkitoka out..
It's only for a couple of hours, siwezi kaa hadi late..
There's no debate, man i been there, i done that
Na ukizingatia, siku pia, haziwezi ganda!
Siendi pub, siendi club, na nkitoka out..
It's only for a couple of hours, siwezi kaa hadi late..
There's no debate, man i been there, i done that
Na ukizingatia, siku pia, haziwezi ganda!
Outro:
Ooh yeah!!
Ooh yeah!!
Ooh yeah!!
Ooh yeah!!
Superman...
BBC once again...