“Nimeshawahi kunyimwa kazi kisa kuwa mwanamke”
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
“Nimeshawahi kunyimwa kazi kisa kuwa mwanamke”
2 059 просмотров · 1 день назад
BBC News Swahili
1,01 млн подписчиков
2 059 просмотров · 1 день назад
Monica Maduhu Makindi ni dereva wa malori makubwa ambaye anasema amewahi kunyimwa kazi kwasababu tu ni mwanamke.
Katika safari yake ya kwanza ya kusafirisha mzigo kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Monica anasimulia jinsi alivyoanza safari akiwa na hofu, bila kuifahamu vizuri njia, na kuomba msaada kwa madereva wenzake.
Licha ya changamoto na mitazamo inayotilia shaka uwezo wake, kazi hiyo imemwezesha kujitegemea, kulea watoto wake wawili na kumsomesha mdogo wake.
Katika kipindi cha Waridi wa BBC cha wiki hii, @Martha_Saranga amezungumza na @Monicamaduhu163 kuhusu safari yake katika udereva wa malori, ubaguzi aliokutana nao na changamoto za kuwa mwanamke katika sekta inayotawaliwa zaidi na wanaume.
-
-
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake #ajira
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili