#HISTORIA YAANDIKWA JESHI LA UHAMIAJI KWA MARA YA KWANZA LAFANYA ONESHO LA KWATA YA KIMYA KIMYA.
Uhamiaji Tv
0:00 / 0:00
#HISTORIA YAANDIKWA JESHI LA UHAMIAJI KWA MARA YA KWANZA LAFANYA ONESHO LA KWATA YA KIMYA KIMYA.
19 449 просмотров · 2 года назад
Uhamiaji Tv
13,3 тыс. подписчиков
19 449 просмотров · 2 года назад
#ontrending #UhamiajitzNews Historia yaandikwa kwa mara ya kwanza Jeshi la Uhamiaji lafanya onesho la kwata ya kimya kimya (Silent Drill) mbele ya Mgeni Rasmi Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla ya kuhitimisha mafunzo ya awali ya Askari wapya wa Jeshi la Uhamiaji yaliyofanyika katika chuo Mafunzo ya Uhamiaji Raphael Kubaga kilichopo Wilayani Mkinga Mkoani Tanga.