Mbinu Rahisi ya Kuanzisha Mazungumzo
Success Path Network
0:00 / 0:00
Mbinu Rahisi ya Kuanzisha Mazungumzo
959 просмотров · 8 дней назад
Success Path Network
371 тыс. подписчиков
959 просмотров · 8 дней назад
Unapata shida kuanzisha mazungumzo na mtu mpya? Jifunze mbinu rahisi za kuanza maongezi na mtu yeyote kwa ujasiri.
Kuanzisha mazungumzo na mtu muhimu au unayetamani kufanya naye biashara inaweza kuwa changamoto kubwa. Video hii inakupa mwongozo wa jinsi ya kuanza maongezi na watu wapya, iwe ni darasani, kazini, au kwenye mazingira ya biashara, ili uweze kujenga mahusiano yenye tija na watu wanaokuzunguka.
Tutajadili jinsi ya kutumia ujuzi wa kuongea ili kuvunja barafu na kuanza uhusiano mpya. Kwa kufuata mbinu za mawasiliano sahihi, utaweza kuondoa hofu na kujenga kujiamini kazini au kwenye shughuli zako za kila siku.
Ili kutatua tatizo hili jiunge na Speaking Skills Masterclass kwa kutma neo "CONFIDENCE" au neno "UJUZI" kwenye WhatsApp 0797-191-076
#success #path #network