SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA WILLIAM -"NIMETOLEWA NJIA YA HAJA KUBWA - MKOJO UNATOKA WENYEWE"
Global TV Online
0:00 / 0:00
SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA WILLIAM -"NIMETOLEWA NJIA YA HAJA KUBWA - MKOJO UNATOKA WENYEWE"
651 просмотр · 2 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
651 просмотр · 2 ч назад
SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA WILLIAM -"NIMETOLEWA NJIA YA HAJA KUBWA - MKOJO UNATOKA WENYEWE"
Hali yake imekuwa ngumu kiasi cha kufanyiwa upasuaji wa kuondoa njia ya haja kubwa na sasa anajisaidia pembeni kupitia mfuko maalum. Zaidi ya hayo, figo yake moja imejaa maji, hawezi kuzuia haja ndogo, na anategemea sindano za maumivu (tramadol) na pampers kila siku huku akiwa amekwama kwenye gesti jijini Dar es Salaam kwa kushindwa kulipa gharama za malazi na matibabu ya kemo.
Kumpunguzia makali na kumsaidia matibabu, unaweza kuwasiliana naye au kutuma mchango wako kupitia:
📞 Namba ya Simu (M-Pesa): 0769 947 859 (William Makoyolo)
#GlobalTVOnline #SimuliziYaKusikitisha #Kansa #Matibabu #Msaada #Tanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com