MTOTO KUACHA KUCHEZA TUMBONI sababu zake ni hizi hapa
IPMMEDIA
0:00 / 0:00
MTOTO KUACHA KUCHEZA TUMBONI sababu zake ni hizi hapa
61 625 просмотров · 5 л. назад
IPMMEDIA
247 тыс. подписчиков
61 625 просмотров · 5 л. назад
#mtotokuchezatumboni #mimba #Ipmmedia
Mtoto kucheza tumboni hudhihirisha kuwa mambo yanakwenda sawia, lakini pale inapotokea mtoto hachezi tumboni au ameacha kucheza lazima Kuna walakini.
Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtoto kuacha kucheza tumboni, katika video hii nimekuelezea sababu za msingi na vyanzo vyake.
Usichukulie poa, zingatia afya yako na ya mtoto aliye tumboni ili uweze kukamilisha safari yako ya miez tisa salama na kujifungua mtoto mwenye afyabora
Keywords :
Mtoto huanza kucheza tumboni mwa mjamzito miezi mingapi?
Mtoto kuacha kucheza tumboni
Mtoto huanza kucheza tumboni akiwa na miezi mingapi?