Alimanzo Mmoja: Nililala Njaa Kwa Street Bumala | Willy Paul Alinisaidiaje? | GBG TV show
GBG TV SHOW
0:00 / 0:00
Alimanzo Mmoja: Nililala Njaa Kwa Street Bumala | Willy Paul Alinisaidiaje? | GBG TV show
35 просмотров · 8 дн. назад
GBG TV SHOW
6 подписчиков
35 просмотров · 8 дн. назад
Alimanzo Mmoja afunguka kwa mara ya kwanza! 😭
Katika interview hii ya GBG TV SHOW, msanii chipukizi kutoka Bumala, Busia County anaeleza uchungu alioupitia - kulala njaa kwa street, kukosa msaada, na jinsi Willy Paul alivyomuinua.
Hii ni story ya kila msanii wa Busia anayepigana na maisha.